Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt.Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) akifuatilia ufunguzi wa mikutano ya Jukwaa la Juu la Kisiasa la Ngazi za  Mawaziri  chini ya Umoja wa Mataifa inayofanyika New York nchini Marekani. Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Dkt. John Jingu na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo.
Waziri Mpango anatarajiwa kuwasilisha kwa mara ya kwanza taarifa ya Tanzania ya  Mapitio ya Hiyari ya Utekelezaji wa Malengo Endelevu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...