Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akipata maelezo kuhusu kazi zinazofanywa na  Bodi ya wataalamu wa ununuzi na Ugavi (PSPTB) kutoka kwa  Afisa mwandamiza Masoko na mahusiano kwa Umma wa PSPTB, Shamim Mdee alipotembelea banda la bodi hiyo wakati wa kufunga maonesho ya 14 ya Vyuo Vikuu yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akipokea vipeperushi vya Bodi ya wataalamu wa ununuzi na Ugavi (PSPTB) kutoka kwa  Afisa mwandamiza Masoko na mahusiano kwa Umma wa PSPTB, Shamim Mdee alipotembelea banda la bodi hiyo wakati wa kufunga maonesho ya 14 ya Vyuo Vikuu yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...