Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Stanbic Tanzania (kushoto) akimkabidhi zawadi Mh.
Balozi wa China nchini Tanzania, Wang Ke wakati wa uzinduzi wa kampeni
ya 'I Go Tanzania' ambayo inatoa punguzo la bei na ofa
mbali mbali kwa wamiliki wa kadi za benki ya ICBC watakaotembelea
Tanzania. Kampeni hii inalenga kukuza sekta ya utalii na kuongeza idadi
ya watalii kutoka China nchini Tanzania.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Mh. Dr Hamisi Kigwangalla (kushoto) akiteta
jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Stanbic Tanzania, Ken Cockerill
wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya 'I Go Tanzania' ambayo
inatoa punguzo la bei na ofa mbali mbali kwa wamiliki wa kadi za benki
ya ICBC watakaotembelea Tanzania. Kampeni hii inalenga kukuza sekta ya
utalii na kuongeza idadi ya watalii kutoka China nchini Tanzania.
Mkurugenzi Msaidizi wa Benki
ya Viwanda na Biashara ya China (ICBC), Ofisi ya uwakilishi ya nchini
Afrika Kusini, Gang Sun (kushoto), Mh. Balozi wa China nchini Tanzania
(wa pili kushoto), Wang Ke, Waziri wa Maliasili na Utalii. Mh. Dr Hamisi
Kigwangalla (katikati),Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Stanbic
Tanzania, Ken Cockerill (wa pili kulia) na Mkuu wa kitengo cha kadi na
malipo kutoka Standard Bank Group, Lincoln Mali (kulia) wakati wa
uzinduzi wa kampeni ya 'I Go Tanzania' ambayo inatoa punguzo la
bei na ofa mbali mbali kwa wamiliki wa kadi za benki ya ICBC
watakaotembelea Tanzania. Kampeni hii inalenga kukuza sekta ya utalii na
kuongeza idadi ya watalii kutoka China nchini Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...