Familia ya Bwana Fredrick Mlaki  inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa bwana Fredrick Andrea Mlaki kilichotokea mnamo tarehe 16/08/2019 katika hospitali ya Muhimbili DSM
Mzee Frederick Andrea Mlaki ni mume wa Bi. Elipina Mlaki, ameacha Mke, watoto na wajukuu.

Habari ziwafikie ukoo wote wa Mlaki walioko Mwika, Ugweno, Majengo na Monduli, Ukoo wote wa Kisamo wa Usangi, ukoo wote wa Shao wa Mwika na ndugu wote na jamaa wa marehemu.

Ibada ya kuaga itafanyika siku ya Jumanne 20/08/2019 katika kabisa la Azania Front saa saba mchana na baada ya hapo kusafiri kwaajili ya mazishi Mwika, Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...