Wafanyabiashara ndogondogo, wachonga Vinyago na Wachoraji wa picha mbalimbali wanaouza bidhaa zao kwa wajumbe wa mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo kwa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC),katika barabara ya chuo cha IFM, wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, wakiwahudumia watu mbalimbali waliofika katika eneo hilo kwa ajili ya kununua mahitaji yao .Aidha wafanyabiashara hao wameishukuru Serikali kwa kuwapa fursa hiyo ya kuonesha na kuuzaa bidhaa zao huku wakizidi kujitangaza na kutanua wigo wa biashara zao. (Picha zote Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Wafanyabiashara ndogondogo, wachonga Vinyago na Wachoraji wa picha wakiendelea na kazi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...