Mwanamuziki Mkongwe nchini Nguza Viking almaarufu Babu Seya  amefunga ndoa takatifu  Jumamosi Septemba 7,2029 katika Kanisa Katoliki,Sinza  jijini Dar es salaam  na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Desderia Haule. Tunawatakia kila la kheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya ya Ndoa. 
Mwanamuziki Mkongwe nchini Nguza Viking almaarufu Babu Seya  akiwasili katika kanisa la katoliki Sinza Jumamosi Septemba 7,2029   jijini Dar kufunga ndoa takatifu  na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Desderia Haule. Tunawatakia kila lakheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya ya Ndoa. 
 Bi Harusi, Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Desderia Haule akiwa katika furaha

Courtesy of Global TV

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...