RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama.Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar,katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati akiondoka Nchini leo kuelekea Ras Al Khaimah katika Umoja wa Nchi za Kiarabu (UAE) kwa ziara ya wiki moja (Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wazee wa CCM Zanzibar,Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati akiondoka Nchini leo kuelekea Ras Al Khaimah, katika Umoja wan chi za Falme za Kiarabu (UAE) kwa ziara ya wiki moja.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati akiondoka Nchini leo kuelekea Ras Al Khaimah, katika Umoja wan chi za Falme za Kiarabu (UAE) kwa ziara ya wiki moja, kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe. Hassan Khatib Hassan na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja. Kapteni Silima Haji.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati akiondoka Nchini Zanzibar leo kuelekea Ras Al Khaimah, kwa ziara ya wiki moja.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...