Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Cultural Heritage Bw. Saifudin Khanbhai (kulia) akimuonyesha picha iliyochorwa ya Nyati Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Kushoto) alipotembelea kituo hicho jana Jijini Arusha. 


Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akipata maelekezo kutoka Mkurugenzi wa Upendo Friends Sports Academy Bibi. Isabella Mwampamba (kulia)alipotembelea kituo hicho ambacho kinahasanisha katika kukuza na kuendeleza vipaji vya watoto katika sekyta ya michezo jana Jijini Arusha.
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa mpira wa miguu wa Upendo Friends Sports Academy jana Jijini Arusha.
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akimpa kikombe cha mchezaji bora kutoka shule Msingi ya Sinoni Gervas Jackson (kushoto) jana Jijini Arusha.
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Mwenye kofia) akiangalia ukumbi wa sinema uliopo katika kituo cha Cultural Heritage kilichopo Majengo Mbauda Jijini Arusha kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho Bw. Saifuni Khanbhai.
(Picha na Lorietha Laurence-WHUSM,Arusha).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...