Regency Medical Centre ya jijini Dar es salaam kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka nchini India wameandaa kambi ya ushauri ya mgongo na mifupa tarehe 26, 27 na 28 mwezi wa  huu wa tisa (Septemba) kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 11 jioni. 

Kwa maelezo zaidi piga namba hizi:
022 2150500
 0784 417500 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...