MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiweka jiwe la msingi la Jengo la Tawi la CCM Uzi kushoto Katibu wa Tawi la CCM Uzi Ndg. Simai Jabu Vuai, hafla hiyo imefanyika katika kisiwa cha Uzi Wilaya ya Kati Unguja leo, 21-11-2019
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitambuliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud Viongozi wa Vyama vya Upinzani alipowasili katika viwanja vya jingo jipya la Tawi la CCM Uzi Wilaya ya Kati Unguja alipofika kulifungua na kuweka jiwe la msingi
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea jingo jipya la Tawi la CCM Uzinda baada ya kulifungua leo 21-11-2019, (kushoto kwa Rais ) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr.Abdalla Juma Mabodi na kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein kulia Naibu Kartibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr,Abdalla Juma Mabodi na kushoto Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Bi. Leila Burhani Ngoz, wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Tawi la CCM Uzi wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchama wa CCM wa Tawi hilo wakati wa hafla hiyo.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisisitiza jambo akiwa na Katiba ya CCM wakati akizungumza na Wanachama wa CCM Uzi katika hafla ya ufunguzi wa jingo jipya la Tawi la CCM Uzi.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi, wakiwa katika ukumbi wa jingo jipya la Tawi la CCM Uzi, baada ya kulifungua leo.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...