Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Katibu Mkuu wa Wizara, Andrew Masawe wakitembelea miradi ya nyumba za Shirika la Hifadhi za Taifa (NSSF) zilizoko Kijichi jijini Dar es salaam na kuagiza kukamilishwa kwa miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akitoka kwenye moja ya nyumba za miradi ya nyumba za Shirika la Hifadhi za Taifa (NSSF) zilizoko Kijichi Wilayani Kigamboni ambapo ameagiza kukamilishwa kwa miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi, Wengine ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Andrew Masawe na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Wiliam Erio. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, akisikiliza Maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa NSSF kuhusu gharama za ujenzi wa mradi wa Nyumba zilizoko kijichi Wilayani Kigamboni, Waziri ameagiza ameagiza kukamilishwa kwa Miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi. 
Mradi wa Nyumba wa Shirika la Hifadhi za Jamii (NSSF) zilizoko kijichi Wilayani Kigamboni kama zinavoonekana kwenye picha, Nyumba hizo zimekamilika isipokuwa miundombinu yake, Waziri ameagiza ameagiza kukamilishwa kwa Miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi. 
Mradi wa Nyumba wa Shirika la Hifadhi za Jamii (NSSF) zilizoko kijichi Wilayani Kigamboni kama zinavoonekana kwenye picha, Nyumba hizo zimekamilika isipokuwa miundombinu yake, Waziri ameagiza ameagiza kukamilishwa kwa Miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, akisikiliza Maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa NSSF kuhusu gharama za ujenzi wa mradi wa Nyumba zilizoko Ndungu Wilayani Kigamboni, Waziri ameagiza ameagiza kukamilishwa kwa Miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi .Picha na Idara ya Habari-MAELEZO 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...