Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa (kulia) akimpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kumtunuku Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD) katika Sayansi, wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katikati ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof.Josephat Bee. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Cheti cha Shahada ya Udaktari wa Falsafa (PhD) kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD) katika Sayansia wakati wa Mahafali ya 10 ya chuo hicho leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Rais Magufuli ametunukiwa PhD hiyo ikiwa ni kutambua mchango wake katika maendeleo ya nchi ambapo anakuwa mtu wa tatu kutunukiwa Shahada hiyo na UDOM akitanguliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na Mzee Rashid Mfaume Kawawa.
 Rasi Dkt. John Pombe Magufuli akifuatilia hafla ya Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) alipohudhuria kwa ajili ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD) katika masuala ya Sayansi leo jijini Dodoma. Rais Magufuli ametunukiwa PhD hiyo ikiwa ni kutambua mchango wake katika maendeleo ya taifa ambapo anakuwa mtu wa tatu kutunukiwa Shahada hiyo na chuo hicho akitanguliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na Mzee Rashid Mfaume Kawawa. Kulia ni Meya wa Jiji la Dodoma Profesa Davis Mwamfupe Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa (kulia) akimuhudhurisha Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD) katika Sayansi, Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kutunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Rais Magufuli ametunukiwa PhD hiyo ikiwa ni kutambua mchango wake katika maendeleo ya nchi ambapo anakuwa mtu wa tatu kutunukiwa Shahada ya heshima ya Uzamivu na chuo hicho akitanguliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na Mzee Rashid Mfaume Kawawa. Rais Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) akifurahia jambo na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe.Benjamin Mkapa mara baada ya kutunukiwa Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi.katika Sayansia wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Rais Magufuli ametunukiwa PhD hiyo ikiwa ni kutambua mchango wake katika maendeleo ya taifa ambapo anakuwa mtu wa tatu kutunukiwa digrii hiyo na chuo hicho akitanguliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na Mzee Rashid Mfaume Kawawa Kutoka kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mke wa Rasi Msaafu wa Awamu ya Tatu Mama Anna Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wakifuatilia Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma ambapo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (PhD) katika Sayansi leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisoma wasifu wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika kitabu cha Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma wakiti wasifu huo ukisomwa na Profesa Davis Mwamfupe (hayupo pichani) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi. Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akifurahia jambo na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (kulia) wakati wa hafla ya Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi Baadhi ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakiwa katika mahafali ya 10 ya Chuo hicho leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi. Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Serikali wakifuatilia hafla ya Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi. Mkuu wa Majeshi Tanzania (CDF), Venance Mabeyo akisalimiana na Waziri wa Nishati, Dkt. Merdard Kalemani, Waziri wa Madini, Doto Biteko na Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Agustine Mahiga walipokutana katika Mhafalai ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi. Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali,, Dkt. Hassan Abbasi akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Godfrey Gerald Mweli walipokutana katika Mhafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali,, Dkt. Hassan Abbasi akiteta jambo na Mshauri wa Ubalozi wa Zimbabwe walipokutana katika Mhafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (PhD) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi. (Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...