Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na kutoa maagizo kwa Simu kwa  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) Dkt. Arnold M. Kihaul aliposimama kwa muda kuongea na wananchi maeneo ya Dumilla Mkoani Morogoro akiwa njiani kuelekea Dlodoma leo Jumatano Novemba 20, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mwananchi aliposimama kwa muda maneo ya  Dumilla Mkoani Morogoro akida njiani kuelekea Dodoma leo Jumatano Novemba 20, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mtoto Hilal Salum (4)  aliposimama kwa muda maneo ya  Dumilla Mkoani Morogoro akida njiani kuelekea Dlodoma leo Jumatano Novemba 20, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika kero mbalimbali walizokuwa wakizitoa wananchi waliosimama pembezoni mwa Stendi ya Mabasi ya Msamvu mkoani Morogoro .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Msamvu mkoani Morogoro mara baada ya kusimama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpigia simu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA mara baada ya kupokea kero ya ucheleweshwaji wa vitambulisho vya Taifa katika eneo la Msamvu mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mmoja wa wafanya usafi wa Stendi ya Mabasi Msavu aliposimama na kuzungumza na wananchi waliosimama pembezoni mwa Stendi ya Mabasi ya Msamvu mkoani Morogoro
Sehemu ya Wananchi wa Msamvu mkoani Morogoro waliokuwa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara aliposimama katika eneo hilo.

PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...