Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela, wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, kumwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe za Maulid, zitazofanyika mkoani humo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasili, kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, kumwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe za Maulid, zitazofanyika mkoani hapo.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...