Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally mohamed Sheini, Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally katika picha ya pamoja na Viongozi wengine wa Chama mara baada ya Kikao cha ufunguzi wa Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzimkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John PombeMagufuli akiongea katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John PombeMagufuli akiwaaga Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) mara baada ya Kikao cha ufunguzi wa Majadiliano chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwana Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally mohamed Sheini, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula, Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chama na Serikali wa Mkoa wa Mwanza wakati wa Kikao cha ufunguzi wa Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwa katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally mohamed Sheini wakiimba wimbo wa chama na wajumbe wengine katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...