Mjasiliamali wa samaki katika kituo cha Mabasi Tabata Segerea Wilaya ya Ilala Jijini Da es Salaam,akitayarisha Samaki kwa lengo la kuwauza kwa wateja mbalimbali watakaofika katika kituo hicho  kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
 kazi ikiendeelea ya kuuza samaki katika kituo cha Mabasi Tabata Segerea Wilaya ya Ilala Jijini Da es Salaam. 
 Makazi wa Dar es Salaam akichagua  viatu  katika kituo cha Mabasi Tabata Segerea Wilaya ya Ilala Jijini Da es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
 Mjasiliamali wa samaki katika kituo cha Mabasi Tabata Segerea Wilaya ya Ilala Jijini Da es Salaam,akiwahudumia wateja wake kama inavyoonekana pichani.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...