Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akikata kitambaa wakati alipotembelea kiwanda kidogo cha kushona nguo cha Ally Rehmtullah muda mfupi baada ya kuzindua rasmi duka la bidhaa za ubunifu wa mavazi la mbunifu mkongwe Ndg. Ally Rehmtullah leo tarehe 25/01/2020 Masaki jijini Dar es Salaam.

Duka hili litakuwa ni kituo (HUB) kwa ajili ya wabunifu wote kutangaza na kuuza bidhaa zao.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...