Viongozi waliopishwa wakila kiapo cha Uadilifu kwa vioungozi wa Umma Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene akila kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mussa Azzan Zungu kuwa Waziri wa Nchi , Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi , Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mussa Azzan Zungu akila Kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene akizungumza jambo na Waziri wa Nchi , Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mussa Azzan Zungu kabla ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Maimuna Tarishi kuwa Balozi wa kudumu wa Tanzania umoja wa Mataifa Geneva
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Hussein Kattanga kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Kennedy Gastorn kuwa Balozi wa kudumu wa Tanzania, Umoja wa Mataifa New York katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Viongozi waliopishwa wakila kiapo cha Uadilifu kwa vioungozi wa Umma Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene Nyaraka zenye makubaliano (MoU) zilizotiwa saini na Viongozi wakuu wa Wizara hiyo ambao hawapo kwasasa kuhusu ununuzi wa vifaa mbalimbali vya Jeshi la Zimamoto ili aifanyie kazi haraka.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene akizungumza mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi , Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mussa Azzan Zungu akizungumza mara baada ya kuapishwa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...