Mtaalamu wa utoaji wa huduma ya dharula wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani Mike Pyorala akiwafundisha baadhi ya wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jinsi ya kutoa huduma ya dharula kwa mtu aliyepata tatizo la ghafla la kiafya. Wataalamu wa Shirika hilo wako JKCI kwa ajili ya kambi maalum ya upasuaji wa moyo kwa watoto na watu wazima
  Daktari bingwa wa huduma ya  dharula wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani Richard Harper akiwafundisha baadhi ya wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jinsi ya kutoa huduma ya dharula kwa mtoto  aliyepata tatizo la ghafla la kiafya. Wataalamu wa Shirika hilo wako JKCI kwa ajili ya kambi maalum ya upasuaji wa moyo kwa watoto na watu wazima.
 Baadhi ya wataalamu  wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Prof. Aubyn Marath ambaye ni daktari bingwa wa upasuaji wa moyo (hayupo pichani) wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wakati akiwafundisha jinsi ya kutoa huduma ya dharula kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji wa moyo. Wataalamu wa Shirika hilo wako JKCI kwa ajili ya kambi maalum ya upasuaji wa moyo kwa watoto na watu wazima.
Prof. Aubyn Marath ambaye ni daktari bingwa wa upasuaji wa moyo wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani akiwafundisha baadhi ya wafanyakazi wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jinsi ya kutoa huduma ya dharula kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji wa moyo. Wataalamu wa Shirika hilo wako JKCI kwa ajili ya kambi maalum ya upasuaji wa moyo kwa watoto na watu wazima. Picha na JKCI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...