Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihakiki taarifa zake za mpiga kura kwenye Daftari la Wapiga kura katika Kituo cha Shule ya Sekondari  SOS Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo Febuari 27,2020. katikati ni Mkurugenzi wa tume ya Uchaguzi Zanzibar  ZEC Thabit Idarous Faina.
 Afisa wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Jamii Zanzibar Khatib Said Bakari akimkabidhi Kitambulisho cha Mzanzibari Mkazi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Febuari 27,2020 Tunguu Zanzibar  Baada ya kuhakikiwa upya kwa Vitambulisho hivyo.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionesha Kitambulisho Kipya cha Mzanzibari Mkaazi baada kukabidhiwa kitambulisho hicho na Afisa wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Jamii Zanzibar Khatib Said Bakari  leo Febuari 27,2020 Tunguu Zanzibar.    (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...