Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiangalia kiatu kinachotengenezwa katika Kiwanda cha Gereza Karanga mkoani Kilimanjaro,mwishoni mwa wiki  wakati wa Ziara ya Ukaguzi wa shughuli zinazofanywa kiwandani hapo ambapo aliwataka uongozi wa kiwanda hicho kuongeza ufanisi katika uzalishaji wa bidhaa hizo za ngozi ili kuendana na kasi ya maendeleo ya viwanda nchini.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea  kiatu kinachotengenezwa katika Kiwanda cha Gereza Karanga mkoani Kilimanjaro,mwishoni mwa wiki wakati wa Ziara ya Ukaguzi wa shughuli zinazofanywa kiwandani hapo ambapo aliwataka uongozi wa kiwanda hicho kuongeza ufanisi katika uzalishaji wa bidhaa hizo za ngozi ili kuendana na kasi ya maendeleo ya viwanda nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...