MRATIBU wa mashindano ya Quran kwa njia ya Mtandao, Mohamed Abdallah (kulia) akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa mashindano ya Quran kwa wanawake, Aisha Faki Juma, yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Tukufu Tanzania, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika katika ukumbi wa Arnatoglou jijini Dar es Salaam, jana. Katikati ni Balozi wa Tuzo za Kimataifa za Quran Tukufu 2020, Zena Abubakar. (Picha na Muhidin Sufiani).
MGENI rasmi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mussa Azan Zungu, akimkabidhi zawadi ya Sh 700, 000 mshindi wa kwanza, kwa upande wa wanaume, Omar Abdallah, wa mashindano ya Quraan kwa njia ya Mtandao yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Tukufu Tanzania, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika katika ukumbi wa Arnatoglou jijini Dar es Salaam, jana. Kushoto ni Sheik wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa. (Picha na Muhidin Sufiani)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...