Na Abdullatif Yunus Michuzi Tv. 
 
Hali inaonesha kuwa huenda kuna mambo ambayo Mbunge anaemaliza muhura wa kwanza katika nafasi ya Ubunge Vijana Mkoa Kagera Halima Bulembo, hakuyamalizia na sasa anahitaji kuyamalizia ikiwa atapewa ridhaa tena ya kupeperusha Bendera ya CCM katika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu 2020. 
 
 Hali hiyo imebainika pale Binti Bulembo mtoto mwanasiasa mashuhuri Abdallah Bulembo alipotimba katika Ofisi za CCM Mkoa Kagera na Kuchukua fomu ya kutetea nafasi hiyo ya Uwakilishi wa Vijana Mkoa Kagera. Halima amechukua nafasi hiyo nyuma ya Vijana wengine 12 waliomtangulia kuchukua fomu ya kutaka wadhifa huo mapema Julai 15.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...