Na Dixon Busagaga.Moshi
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB ,Dkt Charles  Kimei amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika jimbo la Vunjo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, hali inayoashiria uwepo wa mchuano mkali miongoni mwa makada wa Chama hicho waliojitokeza kuchukua fomu hii leo.

Ikumbukwe Jimbo la Vunjo limekuwa chini ya James Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi Taifa.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...