Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utayari wa kupokea watalii watumishi wa taasisi zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona leo jijini Dar es salaam.
Washiriki wa mafunzo ya utayari wa kupokea watalii  taasisi zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla na Balozi wa Ujereumani nchini Tanzania, Regina Hess mara baada ya ufunguzi wa mafunzo hyayo  leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Udhibiti wa Uchumi kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TCAA), Bw. Danny Mallanga ( kushoto) akimweleza jambo Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utayari wa kupokea watalii watumishi wa taasisi zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona leo jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Udhibiti wa Uchumi kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TCAA), Bw. Danny Mallanga akizungumza na washiriki wa mafunzo ya utayari wa kupokea watalii watumishi wa taasisi zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo jijini Dar es salaam. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akimweleza jambo Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Regina Hess wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utayari wa kupokea watalii watumishi wa taasisi zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona leo jijini Dar es salaam.
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Regina Hess akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utayari wa kupokea watalii watumishi wa taasisi zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona leo jijini Dar es salaam. Ujerumani imekua ikiunga mkono juhudi za Serikali kwa kufadhili mafunzo hayo katika maeneo mbalimbali.
 Baadhi ya washiriki wa  mafunzo ya  utayari wa kupokea watalii kutoka katika taasisi zinazotoa huduma ya kuypokea watalii katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona wakifuatilia mada mbalimbali leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akifurahia  jambo Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Regina Hess wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utayari wa kupokea watalii watumishi wa taasisi zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona leo jijini Dar es salaam.
Picha/ Aron Msigwa – WMU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...