Kada Maarufu wa chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha Ibrahim Othman Jama ametia nia  leo Julai 16,katika nafasi ya Udiwani  Kata ya Levolosi.

Picha namba moja Ni Bwana Ibrahim Othman Jama akiwa na katibu wa chama Cha Mapinduzi kata ya Levolosi wakati wa zoezi la Uchukuaji fomu.

Picha namba mbili Kada Ibrahim Othman Jama akiwa ameshikilia fomu ya Udiwani wa kata ya Levolosi iliyopo katika Halmashauri ya jiji la Arusha.


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...