MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na kuagana na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi , baada ya kumalizika kwa hafla ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar CCM, yaliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akifurahia jambo na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla ya mapokezi ya Mgombea yaliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananhi wa Zanzibar wakati wa hafla ya mapokezi ya Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi yaliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, akimkaribisha ili kuzungumza na Wananchi na Wanachama wa CCM katika viwanja vya Afisi Kuu Kisiwandui Jijini Zanzibar wakati wa hafla ya mapokezi ya mgombea akitokea Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu) MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi akizungumza na Wanachama wa CCM Zanzibar katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar wakati wa hafla ya mapokezi akitokea Jijini Dodoma baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa CCM wiki iliopita.(Picha na Ikulu) WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi wakishangilia wakati wa hafla ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar  kupitia CCM Mhe. Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani) wakati akiwahutubia katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi wakishangilia wakati wa hafla ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar  kupitia CCM Mhe. Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani) wakati akiwahutubia katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...