Kikundi cha Hekima kikipokea bati kutoka kwa naibu waziri wa Kilimo Omary Mgumba
Mwakilishi
wa Kanisa la KKKT jimbo la Ngerengere akipokea fedha zilizoahidiwa hivi
karibuni kwaajili ya ujenzi wa kanisa kutoka Mbunge wa Jimbo la
Morogoro Kusini Mashariki.
Viongozi wa msikiti wa Ngerengere wakipokea Bati 40 Kutoka kwa Naibu waziri wa Kilimo Omary Mgumba.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...