LEO tarehe 11 Julai, 2020 Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Madini, Augustine Ollal ametembelea banda la Tume ya Madini na Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Madini kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Saam.

Mara baada ya kutembelea mabanda na kupata maelezo ya kina kuhusu mafanikio ya Sekta ya Madini amepongeza kazi kubwa inayofanywa na Wizara ya Madini na Taasisi zake kwenye uelimishaji wa umma kupitia maonesho.









Matukio mbalimbali kwenye ziara ya Mkurugenzi wa Huduma za tume kwenye banda la tume ya madini katika maonesho ya 44 ya biashara yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...