MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu) MWENYEKITI wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akifuatilia matokeo ya Uchaguzi ya Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupeperusha bendera ya CCMm wakati wa Mkutano Mkuu  wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma(Picha na Ikulu) WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM wakishangilia wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)MSANII wa Kizazi kipya Bongo Flava Diamond  akitowa burudani kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...