Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha mjini Ndg. Denis Mwita akimkabidhi mgombea wa ubunge wa Jimbo la Arusha mjini fomu kwa ajili ya kugombea jimbo hilo  Bi Pamela Mollel ambaye ni mwandishi wa habari wa mjini humo
Mwandishi wa habari Pamela Mollel  akiwa na wahasibu wa  CCM Wilaya ya Arusha mjini alipokwenda kulipia ada ya kuchukuwa fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha mjini (Picha na Woinde Shizza).


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...