Na Abdullatif Yunus Michuzi Tv 
 
Jimbo la Bukoba Mjini limekuwa katika mikono ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo kwa kipindi kinachomalizika sasa cha miaka mitano, sababu ambayo huenda inawasukuma Wanachama wengi wa CCM kujitokeza kutaka kulikomboa Jimbo hilo kwa Awamu ya inayofuata. 
 
Mwanaharakati wa masuala ya Kisiasa na Uchumi na Mchambuzi wa Masuala ya Kitaifa Fahami Matsawili ni kijana aliyejitokeza kuchukua fomu ya kutaka kupewa ridhaa ya kukomboa Jimbo la Bukoba.
 
 Fahami ni kati ya Vijana ambao wamejijengea umaarufu kupitia midahalo mbalimbali akiwa pia ni mjumbe wa Halmashauri ya Vijana wa CCM - Taifa, amejichukua fomu hiyo akiwa ni Mwanachama wa 51 kati ya wale wanaoiwania nafasi hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...