Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati) akikabidhiwa fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi (CCM) na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mbeya Mjini, Ndg. Gervas Ndaki tukio lililofanyika leo katika ofisi za CCM Wilaya Mkoani Mbeya. Kulia ni Mume wake aliyemsindikiza, Ndg. James Andilile Mwainyekule


 Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) akitoa hela kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi (CCM) kwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mbeya Mjini, Ndg. Gervas Ndaki tukio lililofanyika leo katika ofisi za CCM Wilaya Mkoani Mbeya.
 Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mbeya Mjini, Ndg. Gervas Ndaki wakati alipofika katika ofisi za CCM Wilaya kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
 Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi (CCM) katika ofisi za CCM Wilaya Mkoani Mbeya. Kulia ni Mume wake aliyemsindikiza, Ndg. James Andilile Mwainyekule.(PICHA NA OFISI YA BUNGE).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...