Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt Angeline Mabula akisaini kitau mara baada ya kutembelea banda la wizara Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi leo katika maonesho ya biashara yanayofanyika katika viwanja vya saba saba jijini Dar es Salaam.

 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt Angeline Mabula akimsikiliza afisa Ardhi mara baada ya kutembelea banda la Wizara ya ardhi alipotembelea katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
 Naibu Waziri wa wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt Angeline Mabula akikabidhi hati kwa wateja waliotembelea banda la wizara Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi jijini Dar es Salaam leo.
Naibu Waziri wa wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula akizungumza na afisa ardhi mara baada kutembelea banda la wizara Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...