Na Abdullatif Yunus Michuzi Tv. 
 
Miongoni mwa waliochukua fomu ya Kuomba ridhaa ya nafasi ya Ubunge ni pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Usafirishaj mizigo ARUTTA AGENCIES na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Missenyi Ndg. Renatus Rutta maarufu kama Vijisenti, ambaye pia amerejesha fomu yake mapema Julai 15 baada ya kuijaza. 
 
 ''.......Ewe Mola nitimizie ndoto hii, Wala si kwa matakwa yangu bali matakwa yako Mola uliye juu, Wewe wajua nani mstahiki wa nafas hii,, naomba ikupendeze niwe mimi mteule wako...'' ni maneno yaliyosikika wakati Ndg. Rutta Vijisent akirejesha fomu hiyo katika ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Missenyi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...