Meneja Bidhaa za Intaneti-Tigo Mkumbo Myonga akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa simu Mpya ya TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua kwa bei ya laki 333,000 na kupata ofa za kifurushi cha GB 78 kwa mwaka mzima.kushoto kwake ni Meneja mawasiliano kutoka kampuni ya Tecno Erick Mkomoye mapema leo katika viwanja vya maonesho ya SabaSaba 
Meneja mawasiliano kutoka kampuni ya Tecno Erick Mkomoye akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa zinduzi wa simu Mpya ya TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua kwa bei ya laki 333,000 na kupata ofa za kifurushi cha GB 78 kwa mwaka mzima. 
Meneja mawasiliano kutoka kampuni ya Tecno Erick Mkomoye akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa simu Mpya ya TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua kwa bei ya laki 333,000 na kupatau ofa za kifurushi cha GB 78 kwa mwaka mzima. 
Mwandishi wa habari wa TVE Ellen Manyangu akipokea Zawadi ya Simu Kutoka kwa Meneja mawasiliano kutoka kampuni ya Tecno Erick Mkomoye mara baada ya uzinduzi wa uzinduzi wa simu Mpya ya TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua kwa bei ya laki 333,000 na kupata ofa za kifurushi cha GB 78  kwa mwaka mzima.Anayeshuhudia ni Meneja Bidhaa za Intaneti-Tigo Mkumbo Myonga . 
Waandishi wakifurahia Zawadi zao kutoka Tigo mara baada ya uzinduzi wa uzinduzi wa simu Mpya ya TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua kwa bei ya laki 333,000 na kupata ofa za kifurushi cha GB 78 kwa mwaka mzima . 

Kampuni ya mawasiliano ya tigo imewataka wananchi kutumia nafasi ya uwepo wa maonesho ya kibiashara ya 44 ya Dare salaamu sabasaba kwa ajili ya kufanya manunuzi ya vifaa vya mawasiliano vyenye ubora kufuatia maonesho hayo kuhusisha kampuni za mawasilianobza simu ambazoZinaleta vifaa vyenye ubora

Akizungumza leo jijini Dare salaamu Meneja wa bidhaa za intaneti kutoka tigo mkumba myonga amesema katika maonesho hayo wameingia makubaliano na baadhi ya kampuni za uuzaji vifaa vya simu ambazo zina sifa na ubora kwa matumizi ya watanzania.
Kwa upande wake Meneja mawasiliano kutoka kampuni ya Tecno Erick mkomoye ameeleza kuwa hivi Sasa Watanzania wanahitaji teknolojia za Hali ya juu kwenye simu zao wanazotumia ili kuendeleza uchumi wa Kati uliofikiwa na kuifanya endelevu na kwa kutambua hilo wameamua kuja na simu aina ya Tecno spark 5 yenye thamani sawa na mahitaji ya watumishi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...