Murugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akizungumza na watumishi wa NEC ambao wamehamia Ofisi mpya za Makao Makuu ya Ofisi hiyo yaliyopo Njedengwa Jijini Dodoma jana. Awamu ya kwanza ya watumishi wa NEC wamehamia Dodoma wiki hii. (Picha na NEC).

Watumishi katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC) wakimsikiliza Murugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera (hayupo pichani) wakati akizungumza na watumishi waliohamia kwa awamu ya kwanza  katika ofisi mpya za Makao Makuu tume  yaliyopo Njedengwa Jijini Dodoma jana. (Picha na NEC).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...