Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald (wa pili kushoto ) pamoja na Msaidizi wa Mipango Vodacom Tanzania Foundation, Kelvin Boya wakiwaelezea wateja kuhusu huduma ya Instant School  walipotembelea banda la Vodacom kwenye maonesho ya 44  ya biashara ya kimataifa ya sabasaba leo
 Mtoa huduma kwa wateja Vodacom, Oliver Nyasa (kulia) akimsikiliza mteja aliyetembelea banda la Vodacom kwenye maonesho ya 44  ya biashara ya kimataifa ya sabasaba leo
Mtoa huduma kwa wateja Vodacom, Faraja Mwaseke (kulia) akiwasikiliza wateja waliotembelea banda la Vodacom kwenye maonesho ya 44  ya biashara ya kimataifa ya sabasaba leo
 Meneja wa maduka ya Rejareja Vodacom Tanzania PlC, Vanessa Mlawi (kulia) akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea banda la Vodacom kwenye maonesho ya 44  ya biashara ya kimataifa ya sabasaba kuhusu punguzo la bei kwa simu za Smart Kitochi zinazopatikana kwa shilingi 45,000/- na bidhaa mbalimbali zinazopatikana bandani hapo leo.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...