Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua upanuzi na uboreshaji wa bandari ya Mtwara Julai 7, 2020. , 2020. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa na katikati ni Meneja wa Bandari ya Mtwara, Mhandisi Juma Kijavara.
Eneo la bandari ya Mtwara linalopanuliwa  katika maboresho yanayofanywa na serikali ili kukuza uwezo wa bandari hiyo. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua upanuzi huo Julai 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...