Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) alipotembelea Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayofanyika katika uwanja vya Mwl. Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam ambapo tarehe 03 Julai Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa atayafungua rasmi.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa akiwa na Mwenyekiti wa Bosi ya Mamlaka ya Biashara Tanzania (Tantrade), na  Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade, Latifa Khamis hiyo alipotembelea Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayofanyika katika uwanja vya Mwl. Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam ambapo tarehe 03 Julai Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe Kassim Majaliwa atayafungua rasmi.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa atembelea banda la Wakala wa Vipimo (WMA) kwenye maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.


 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa, (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Shirika la PostaTanzania  alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayofanyika katika uwanja vya Mwl. Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam ambapo tarehe 03 Julai Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe Kassim Majaliwa atayafungua rasmi.
 Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Shirika la PostaTanzania.
 Afisa wa Shirika la PostaTanzania, Janeth Mzava  akitoa maelezo kwa mwananchi alietembea banda la shirika hilo katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayofanyika leo katika uwanja vya Mwl. Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Banda la Shirika la PostaTanzania,John Tinga (kushoto) akimhudumia mteja alietembea banda la shirika hilo kubadilisha Fedha katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayofanyika leo katika uwanja vya Mwl. Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...