Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Hellen Siria (kushoto) na Meneja  Miradi wa Makampuni kutoka Shirika linalojihusisha na kuboresha maisha ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu hasa wale walioathirika na ugonjwa wa ukimwi (Pact), Beatrice Kamugisha,  wakikabidhi vifaa vya saluni kwa mmoja wa wanafunzi  aliyehitimu mafunzo katika Chuo cha Ufundi cha Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi Tanzania (Veta), Neema Bakari, chini ya udhamini wa Benki ya Absa kupitia Mpango wa Kizazi Kipya unaoratibiwa na Pact pamoja na Shirika la Walio katika Mapambano na Aids (WAMATA). Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za WAMATA, Dar es Salaam leo.
 Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Hellen Siria (kulia) akikabidhi cherehani kwa mmoja wa wanafunzi  aliyehitimu mafunzo katika Chuo cha Ufundi cha Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi Tanzania (Veta), Happy Kalinga, chini ya udhamini wa Benki ya Absa kupitia Mpango wa Kizazi Kipya unaoratibiwa na Shirika linalojihusisha na kuboresha maisha ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu hasa wale walioathirika na ugonjwa wa ukimwi (Pact) pamoja na Shirika la Walio katika Mapambano na Aids (WAMATA). Katikati ni  Meneja  Miradi wa Makampuni kutoka Pact, Beatrice Kamugisha. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za WAMATA, Dar es Salaam leo.
 Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Hellen Siria (kushoto) vifaa vya saluni kwa mmoja wa wanafunzi  aliyehitimu mafunzo katika Chuo cha Ufundi cha Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi Tanzania (Veta), Rehema Shabani, chini ya udhamini wa Benki ya Absa kupitia Mpango wa Kizazi Kipya unaoratibiwa na Shirika linalojihusisha na kuboresha maisha ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu hasa wale walioathirika na ugonjwa wa ukimwi (Pact), pamoja na Shirika la Walio katika Mapambano na Aids (WAMATA). Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za WAMATA, Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja  Miradi wa Makampuni kutoka Pact, Beatrice Kamugisha na Meneja Mradi wa  Kizazi Kipya kutoka WAMATA, Omari Chambo.
 Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Hellen Siria (wa pili kulia) akikabidhi vitendea kazi vya upambaji kwa mmoja wa wanafunzi  aliyehitimu mafunzo katika Chuo cha Ufundi cha Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi Tanzania (Veta), Maisha Ally, chini ya udhamini wa Benki ya Absa kupitia Mpango wa Kizazi Kipya unaoratibiwa na Shirika linalojihusisha na kuboresha maisha ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu hasa wale walioathirika na ugonjwa wa ukimwi (Pact), pamoja na Shirika la Walio katika Mapambano na Aids (WAMATA). Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za WAMATA, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Meneja  Miradi wa Makampuni kutoka Pact, Beatrice Kamugisha na Meneja Mradi wa  Kizazi Kipya kutoka WAMATA, Omari Chambo.
 .Meneja Mradi wa  Kizazi Kipya kutoka Shirika la Walio katika Mapambano na Aids (WAMATA), Omari Chambo (kushoto) akikabidhi vitendea kazi vya upambaji kwa mmoja wa wanafunzi  aliyehitimu mafunzo katika Chuo cha Ufundi cha Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi Tanzania (Veta), Maisha Ally, chini ya udhamini wa Benki ya Absa kupitia Mpango wa Kizazi Kipya unaoratibiwa na Shirika linalojihusisha na kuboresha maisha ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu hasa wale walioathirika na ugonjwa wa ukimwi (Pact), pamoja na Shirika la WAMATA. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za WAMATA, Dar es Salaam leo. Wa tatu kushoto ni Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Hellen Siria na Meneja  Miradi wa Makampuni kutoka Pact, Beatrice Kamugisha.
 Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Hellen Siria (kulia) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vitenbdea kazi kwa wanafunzi waliohitimu mafunzo katika Chuo cha Ufundi cha Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi Tanzania (Veta), chini ya udhamini wa Benki ya Absa kupitia Mpango wa Kizazi Kipya unaoratibiwa na Shirika linalojihusisha na kuboresha maisha ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu hasa wale walioathirika na ugonjwa wa ukimwi (Pact), pamoja na Shirika la WAMATA. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za WAMATA, Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Ofisa Elimu wa WAMATA Wilaya ya Ilala, Doreen Phillemon, Meneja Mradi wa  Kizazi Kipya WAMATA, Omari Chambo na Meneja  Miradi wa Makampuni kutoka Pact, Beatrice Kamugisha.
 Mmoja wa wahitimu wa waliohitimu mafunzo katika Chuo cha Ufundi cha Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi Tanzania (Veta), Happy Kalinga akitoa shukrani katika hafla hiyo.
Meneja  Miradi wa Makampuni kutoka Shirika linalojihusisha na kuboresha maisha ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu hasa wale walioathirika na ugonjwa wa ukimwi (Pact), Beatrice Kamugisha (katikati) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vitendea kazi kwa wanafunzi waliohitimu mafunzo katika Chuo cha Ufundi cha Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi Tanzania (Veta), chini ya udhamini wa Benki ya Absa kupitia Mpango wa Kizazi Kipya unaoratibiwa na Shirika la Pact, pamoja na Shirika la WAMATA. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za WAMATA, Dar es Salaam leo. kushoto ni Ofisa Elimu wa WAMATA Wilaya ya Ilala, Doreen Phillemon na Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Hellen Siria.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...