Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria leo katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,12/08/2020. 
 Viongozi katika Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (hayupo pichani),12/08/2020.
 Maafisa wa Idara za mbali mbali za Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (hayupo pichani),12/08/2020.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Nd,George Joseph Kazi akisoma taarifa ya  Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021  wakati wa Kikao  cha siku moja  kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar(kulia) Mkurugenzi Mipango Sera na Utafiti BI.Daima Mohamed Mkalimoto.
{Picha na Ikulu} 12/08/2020. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...