KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza, Suleiman Mzee akicheza mchezo wa 'Draft' na Mfungwa wa Gereza Mbarali, Mkoani Mbeya. Wafungwa hushiriki burudani mbalimbali gerezani ikiwa ni sehemu mojawapo ya programu za Urekebishaji magerezani. #UREKEBISHAJI.
 Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akikagua shamba la zao la korosho katika eneo la Gereza Mbarali Mkoani Mbeya alipofanya ziara ya kikazi leo Agosti 6,2020. 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...