Wafanyabiashara mbalimbali wakiwa katika wilaya ya  Temeke jijini Dar es Salaam wakiwasubiri wateja wanaotoka sehemu mbalimbali za jiji kununua mahitaji yao kama inavyoonekana pichani.

Mfanya Biashara ambao  majina  yao hayakupatikana mara moja akizungumza na wateja waliofika kupata mahitaji ya nyumbani pembezoni mwa Barabara ya Temeke Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...