MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.(Picha na Ikulu).
 
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akifungu Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Zanzibar, wakiwa wamesimama wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akiwasili katika ukumbi wa Kikao Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati akikifungua Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashari Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar na (kulia  kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan na (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla.Juma Mabodi.(Picha na Ikulu) 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...