Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akipokea Bendera ya Muungano kutoka kwa Vijana wa Umoja wa Vijana
wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja kwenye Maadhimisho ya siku ya Wakizimkazi
yanayofanyika kila Mwaka katika kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini
Unguja leo Agosi 13,2020. .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na Meneja wa Banki ya NMB kanda ya Dar es salaam na
Zanzibar Donatus Richard alipotembelea maonesho ya siku ya Wakizimkazi
yanayofanyika kila Mwaka katika kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini
Unguja leo Agosi 13,2020. kulia Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Mhe. Ayoub
Mohammed Mahamoud .
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mtoto Jamali Abuu Mtoro (5) Mwanafunzi wa Darasa la 1
katika Kituo cha kulelea Watoto cha Assalam Community Forndation
Kizimkazi Wilaya ya Kusini Mkoa wa kusini Unguja alipotembelea Kituo
hicho leo Agosti 13,2020 wakati wa maadhimisho ya Sherehe ya siku ya
Wakizimkazi yanayofanyika kila Mwaka katika kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa
Kusini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisalimiana na Viongozi wa Kituo cha kulelea Watoto cha Assalam
Community Forndation cha Kizimkazi Wilaya ya Kusini Mkoa wa kusini
Unguja kinachoongozwa na Bibi Hatice Colak Mwenyeji wa Uturuki leo
Agosti 13,2020 wakati alipotembelea Kituo hicho wakati wa Maadhimisho ya
siku ya Wakizimkazi yanayofanyika kila Mwaka katika kijiji cha
Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipokea Zawadi maalum kutoka kwa Viongozi wa Banki ya NBC kwenye
maadhimisho ya siku ya Wakizimkazi inayofanyika kila Mwaka katika
kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo Agosi 13,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...