Naibu Gavana wa BoT, Dk Bernard Kibesse (Kulia), Naibu Mwekezaji, Raymond Tarimo pamoja na  Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Mhandishi Ridhuan Mringo wakifurahi baada ya kuzindua benki mpya iitwayo Mwanga Hakika Microfiance Bank baada ya muunganiko wa benki tatu tatu (Mwanga Community bank, Hakika Microfinance Bank na EFC Tanzania Microfinance Bank).Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo Jagjit Singh.
Naibu Gavana wa BoT, Dk.Bernard Kibesse akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi benki ya Mwanga Hakika Microfinance Bank iliyotokana na muunganiko wa benki tatu ikiwamo Mwanga community Bank,Hakika Microfinance Bank Pamoja na EFC Tanzania Microfinance Bank.Kulia kwake ni Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi, Eng.Ridhuan Mringo.
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk.Bernad Kibesse (kushoto), Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya(katikati) wakifuatilia zoezi la uzinduzi wa benki ya Mwanga Hakika Microfinance Ltd.Benki hiyo ni muunganiko wa benki tatu (Mwanga Community bank, Hakika Microfinance Bank na EFC Tanzania Microfinance Bank).Kulia ni  Mkurugenzi mtendaji wa benki ya Mwanga Hakika Microfinance Ltd.
Dk. Gabriel Ndunga, mteja wa kwanza kupata huduma kutoka benki mpya ya Mwanga Hakika Microfinance Bank iliyozinduliwa jana baada ya kuungana kwa benki tatu ikiwamo Mwanga Community Bank, Hakika Microfinance Bank Pamoja na EFC Tanzania Microfinance Bank.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...