Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (katikati), akipokea moja ya vifaa vya ujenzi kutoka kwa Meneja Mahusiano Serikalini wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), William Kallaghe (wa tatu kushoto), vyenye thamani ya shs 29,200,000 vilivyotolewa na benki hiyo kumalizia ujenzi wa madarasa manne ya Shule ya Awali ya Kizimkazi Mkunguni katika hafla iliyofanyika pamoja na maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi, leo, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar. Kutoka kushoto ni Meneja wa NBC Tawi la Zanzibar, Ramadhani Lesso na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki za Kiislamu katika tawi hilo,  Mohamed Nuh. 
 Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (katikati), akipokea shukurani maalumu kutoka NBC kupitia kwa kwa Meneja Mahusiano Serikalini wa Benki hiyo, William Kallaghe mara baada ya kupokea msaada wa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shs 29,200,000 vilivyotolewa na benki hiyo kusaidia ujenzi wa madarasa manne ya Shule ya Awali ya Kizimkazi Mkunguni katika hafla iliyofanyika pamoja na maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi, leo, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar. Wanaongfalia kushoto ni Meneja wa NBC Tawi la Zanzibar, Ramadhani Lesso na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki za Kiislamu katika tawi hilo,  Mohamed Nuh.

  Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (wa pili kulia), amkimsikiliza Meneja Mahusiano Serikalini wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), William Kallaghe baada ya kupokea msaada wa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shs 29,200,000 vilivyotolewa na NBC kumalizia ujenzi wa madarasa manne ya Shule ya Awali ya Kizimkazi Mkunguni katika hafla iliyofanyika pamoja na maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi, leo, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar. Kushoto ni Meneja wa NBC Tawi la Zanzibar, Ramadhani Lesso na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki za Kiislamu wa benki hiyo Tawi la Zanzibar, Mohamed Nuh.

  Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (katikati), akiwasalimia baadhi ya maofisa wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), katika hafla ambayo NBC ilimkabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shs 29,200,000 kumalizia ujenzi wa madarasa manne ya Shule ya Awali ya Kizimkazi Mkunguni katika hafla iliyofanyika pamoja na maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi, leo, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar. Kutoka kushoto ni, Mkuu wa Huduma za Kibenki Kitengo cha Kiislamu wa NBC Zanzibar, Mohamed Nuh, Meneja Mahusiano  Serikalini wa NBC Tanzania, William Kallaghe, Meneja wa NBC Tawi la Zanzibar, Ramadhani Lesso na Ofisa Mauzo, Mussa Waziri. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...