Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Balozi, Mohamed Ramia Abdiwawa (katikati) akikata utepe kuzindua tawi jipya la benki ya NCBA lililopo mtaa wa Mlandege, Zanzibar leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NCBA Bank Tanzania Ltd, Margaret Karume na Mkurugenzi wa Biashara na Huduma za Kidigitali wa benki hiyo, Gift Shoko.


 Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Balozi, Mohamed Ramia Abdiwawa akizungumza na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa tawi jipya la benki ya NCBA lililopo jengo la Muzamil mtaa wa Mlandege, Zanzibar leo.


 Mkurugenzi wa Biashara na Huduma za Kidigitali wa NCBA Bank Tanzania Limited, Gift Shoko (wa pili kushoto) akiongoza matembezi ya uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo lililopo jengo la Muzamil, mtaa wa Mlandege, Zanzibar leo 

Mkurugenzi Mkuu wa NCBA Bank Tanzania Ltd, Margaret Karume akizungumza na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa tawi jipya la benki ya NCBA lililopo jengo la Muzamil mtaa wa Mlandege, Zanzibar leo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...