Ni Liverpool dhidi ya Chelsea pale ‘Darajani’

MSIMU wa pili, tunaanza kupata ladha ya ‘Big Match’. Wikiendi hii ni Mabingwa Watetezi wa EPL – Liverpool dhidi ya vijana wa ‘Darajani’ – Chelsea.

Liverpool ambao walikuwa na msimu mzuri 2019/20 kwa kutwaa Ubingwa wa EPL baada ya miaka 30, sasa wanakutana na ‘Matajiri wa London’Chelsea. Nani ataonesha umwamba mapema msimu huu? Chelsea ameonesha uwezo wake wa kutumia pesa kwa kufanya usajili mkubwa kwenye majira haya ya kiangazi. Je, usajili wake utampatia matokeo mbele ya Liverpool ambaye amesajili mchezaji mmoja mpaka sasa? 

Historia inatuambia, Liverpool na Chelsea wameshakutana mara 186 katika mashindano mbalimbali. Mchezo wao wa kwanza walikutana mwaka 1907 wakati huo EPL ikijulikana kama “League One Division”, Liverpool alifungwa 4-1 katika mchezo huo. Katika michezo 186, Liverpool ameshinda 81, Chelsea ameshinda mara 64 na wametoka sare mara 41.

Kwa upande wa odds, wataalamu wa Meridian wamempatia faida Chelsea. Ushindi kwa Chelsea unathaminiwa kwa odds ya 3.09, ushindi wa Liverpool umepatiwa odds ya 2.20 wakati matokeo ya sare ni 3.52. 

Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unawezakuyaangalia hapa.

Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakusaidia kuwa mshindi! 

Jisajili na meridianbet hapa www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia unaweza kuwekapesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.

Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...